<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>113</hymn_number>
<title>Ni Mfalme Wa Mapenzi TZR113</title>
<lyrics>[V1]
 Ni Mfalme wa mapenzi
 Ndiye anichungaye,
 Sipungukiwi, hawezi.
 Kunipoteza yeye.

[V2]
 Kando ya mji mazima
 Yeye huniongoza
 Katika malisho mema
 Daima hunilaza.

[V3]
 Mara nyingi hupotea
 Kwa ukaidi wangu,
 Naye huniandamia,
 Hunirudisha kwangu.

[V4]
 Uvulini mwa mauti,
 Siachi hatari kamwe,
 Wewe Bwana huniachi,
 Mwokozi wangu wewe.

[V5]
 Waniandikia meza
 Neema kwako tele.
 Kwa wewe, yote naweza.
 Na msalaba mbele.

[V6]
 Kamwe hautapungua
 Uule wema wako;
 Mwisho, atanichukua,
 Juu, niimbe kwako.</lyrics>
</song>